Machapisho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru kwenye hafla iliyofanyika New Delhi nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023.

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru Profesa Santishree Dhulipudi Pandit kwenye hafla iliyofanyika New Delhi nchini India Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru, New Delhi nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023 Walimu wa Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru kilichopo New Delhi nchini India wakiwa kwenye hafla ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo hicho Oktoba 10, 2023 Wanafunzi wa Vyuo Vikuu mbalimbali nchini India wakiwa kwenye hafla ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitunukiwa Shahada ya Heshim...

BANDA LA WIZARA YA FEDHA: SHAMRASHAMRA ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA NANE NANE JIJINI MBEYA

Picha
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (kushoto), akisaini kitabu cha wageni, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane, yanayofikia kilele leo katika Viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya, yaliyobeba kaulimbiu ya “Vijana na Wanawake ndio Msingi Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula Tanzania”. Kulia ni Katibu Muhtasi wa Wizara hiyo, Bi. Masia Msuya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (kushoto), akisikiliza kwa umakini maelezo yaliyokuwa yanaotolewa na Mchumi kutoka Idara ya Usimamizi wa Madeni, Bi. Gloria Mduda (kulia), kuhusu mwamko wa wananchi waliotembelea meza ya idara hiyo, kujifunza kuhusu Deni la Taifa, alipotembelea Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane, yanayofikia kilele leo katika Viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya, yaliyobeba kaulimbiu ya “Vijana na Wanawake ndio Msingi Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula Tanzania”. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ...

BARAZA LA SIASA TANZANIA LAWAKUTANISHA WANASIASA, VIONGOZI WA DINI KUJADILI HALI YA KISIASA NCHINI

Picha
  Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Ahmed Ally Akiteta j Mrajisi wa Asasi za Kirai Zanzibar, Mohamed  Abdallah  pamoja na mjumbe mwalikwa kutoka asasi ya kiraia YPC, Martine Mang’ong’o mara baada ya kumaliza Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam  tarehe 1 Agosti 2023. (Picha na: ORPP) Msajili wa Vyama vya Saisa, Jaji Francis Mutungi akiteta jambo na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe mara baada ya kumaliza Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam  tarehe 1 Agosti 2023. Mwakilishi wa Chama cha NCCR Mageuzi, Joseph Selasini akichangia mada wakati wa Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam  tarehe 1 Agosti 2023. Kiongozi wa Chama ch...

MBUNGE wa Bunge la Uingereza, Tracey Crouch anaendelea kupanda Mlima Kilimanjaro

Picha
    MBUNGE wa Bunge la Uingereza, Tracey Crouch anaendelea kupanda Mlima Kilimanjaro na Jana amefika kituo cha Moyr Hut mita takriban 4,600 kutoka usawa wa bahari akibakiza vituo vitatu kufika kileleni na kuweka historia . Crouch anapanda Mlima Kilimanjaro, akiwa na wanawake wenzake wanane kupitia kampuni ya Big Expedition and Safaris ya jijini Arusha na tangu ameanza kupanda amekuwa na furaha kubwa kupanda Mlima huku akifurahia kukaribia kileleni mwa Mlima Kilimanjaro. Mbunge huyo ambaye yupo katika kampeni ya kuchangisha fedha kufanikisha matibabu ya saratani ya matiti kwa wagonjwa kesho anatarajiwa kufika kituo cha Baranko. Crouch ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Michezo wa Uingereza kati ya mwaka 2017/18 anatarajiwa kushuka Mlimani Agosti 5 na kupokewa na wadau mbalimbali wa Utalii kampuni ya kimataifa ya Utalii ya Uingereza ya Action Challenge kwa kushirikiana na Big Expedition and Safaris ndio wanampandisha kileleni Mbunge huyo na wenzake katika safari iliyopewa jina l...

MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KWA VIONGOZI WANAOSHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUHUSU RASILIMALI WATU, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 25 JULAI, 2023.

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali wanaoshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu wakati wa hafla ya Chakula cha jioni, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2023. Matukio mbalimbali wakati wa hafla ya chakula cha jioni kwa viongozi wanaoshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na wageni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi, Rais wa São Tomé na Principe Mhe. Carlos Vila Nova, Rais wa Madagascar Mhe. Andry Nirina Rajoelina pamoja na Rais wa Sierra Leone Mhe. Julius Maada Bio wakati wakiangalia vikundi mbalimbali vikitumbuiza katika hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia viongozi wanaoshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe....