BARAZA LA SIASA TANZANIA LAWAKUTANISHA WANASIASA, VIONGOZI WA DINI KUJADILI HALI YA KISIASA NCHINI

 

Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Ahmed Ally Akiteta j Mrajisi wa Asasi za Kirai Zanzibar, Mohamed  Abdallah  pamoja na mjumbe mwalikwa kutoka asasi ya kiraia YPC, Martine Mang’ong’o mara baada ya kumaliza Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam  tarehe 1 Agosti 2023. (Picha na: ORPP)


Msajili wa Vyama vya Saisa, Jaji Francis Mutungi akiteta jambo na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe mara baada ya kumaliza Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam  tarehe 1 Agosti 2023.


Mwakilishi wa Chama cha NCCR Mageuzi, Joseph Selasini akichangia mada wakati wa Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam  tarehe 1 Agosti 2023.

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe akichangia mada wakati wa Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 1 Agosti 2023. Mkutano huo maalumu umewashirikisha baadhi ya viongozi wa dini na wawakirishi kutoka katika Taasisi za kirai kwa lengo la kujadili namna bora ya utengamano baina ya siasa na dini nchini.

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi - CUF Taifa, Prof. Ibrahim Lipumba akichangia mada wakati wa Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam  tarehe 1 Agosti 2023.



Msajili wa Vyama vya Saisa, Jaji Francis Mutungi akiteta jambo na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutoka Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala Prof. Alexander Makulilo ambaye alikuwa mtoa mada kuhusu matumizi ya viongozi wa dini katika siasa, mavazi na vitendo vya walinzi wa vyama pamoja na matumizi ya lugha katika mikutano wakati wa Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika leo  jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya washiriki wa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini wakifuatilia mada kuhusu matumizi ya viongozi wa dini katika siasa, mavazi na vitendo vya walinzi wa vyama pamoja na matumiz ya lugha katika mikutano wakati wa Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika leo  jijini Dar es Salaam.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutoka Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala Prof. Alexander Makulilo akiwasilisha mada kuhusu matumizi ya viongozi wa dini katika siasa, mavazi na vitendo vya walinzi wa vyama pamoja na matumiz ya lugha katika mikutano wakati wa Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika leo  jijini Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa, Ndg. Juma Khatib akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa ulifanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Mkutano huo maalumu umewashirikisha baadhi ya viongozi wa dini na wawakirishi kutoka katika Taasisi za kirai kwa lengo la kujadili namna bora ya utengamano baina ya siasa na dini nchini.

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi akizungumza wakati ufunguzi wa Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa ulifanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Mkutano huo maalumu umewashirikisha baadhi ya viongozi wa dini na wawakirishi kutoka katika Taasisi za kirai kwa lengo la kujadili namna bora ya utengamano baina ya siasa na dini nchini.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii