Mkuu wa Mkoa Singida, Dkt.Binilith Mahenge akisisitiza jambo wakati Wajumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Singida walipo kuwa wakikagua mradi wa Chuo cha Ufundi VETA jana unaojengwa wilayani Ikungi. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Alhaji Juma Kilimba (wa tatu kushoto) akiongoza kamati hiyo kukagua mradi wa vyoo Zahanati ya Puma. Kulia ni Muuguzi Mkuu wa Zahanati hiyo Lucy Tathi. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Jerry Muro akizungumzia mradi wa ujenzi wa vyoo Zahanati ya Puma . Mwenyekiti wa Kijiji cha Puma, Samuel Mdimu akizungumza wakati wa ukaguzi wa mradi huo. Wananchi wa Puma wakishuhudia ukaguzi wa mradi huo. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Singida, Denis Nyiraha akizungumza wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa vyoo vya Zahanati ya Puma. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ikungi, Mika Likapakapa na kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Singida, Alhaji Juma Kilimba Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Mkoa wa Singida...
Machapisho
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Awasili Jijini Dodoma Akitokea Jijini Dar es Salaam Tarehe 04 Julai, 2021
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
FacebooTwitteShare Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea Jijini Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa amefuatana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea Jijini Dar es salaam
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Ajumuika na Wananchi Kushuhudia Mpambano wa Simba na Yanga Tarehe 03 Julai, 2021
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Wallace Karia, alipowasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo tarehe 03 Julai, 2021 kwa ajili kuangalia mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga. Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akiingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo tarehe 03 Julai, 2021 kwa ajili kuangalia mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga. Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akiangalia mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga unaoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam leo tarehe 03 Julai,2021
Ziara ya Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi Wilaya Kati Unguja
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
1 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mgeni Haji Jimbo la Uzini baada ya kutembelea Barabara ya Mgeni Haji – Kwambani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiendelea na ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Kiboje Manzese kuzungumza na Wananchi wa Jimbo la Uzini mara baada ya kutembelea Barabara ya Kiboje,Miwani-Kizimbani akiendelea na ziara yake katika Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa huo. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Mhe. Sudi Nahoda akitoa ufafanuzi kuhusu masuala ya kilimo kwa Wananchi na Wakulima wa Kiboje,Miwani-Kizimbani wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotembelea ...
SHERIA, MWENENDO WA MASHAURI NA HUKUMU ZIANDIKWE KWA LUGHA YA KISWAHILI-DKT MWIGULU NCHEMBA
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Waziri wa katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza na Menejimenti ya Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania) wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam tarehe 22 Disemba 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Katiba na Sheria) Waziri wa katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza na Menejimenti ya Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania) wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam tarehe 22 Disemba 2020. Waziri wa katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akikagua maabara ya Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania) wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam tarehe 22 Disemba 2020. Naibu Waziri wa katiba na Sheria Mhe Geofrey Mizengo Pinda akisisitiza jambo wakati akizungumza na Menejimenti ...