Ziara ya Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi Wilaya Kati Unguja

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mgeni Haji Jimbo la Uzini baada ya kutembelea Barabara ya Mgeni Haji – Kwambani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiendelea na ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa huo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Kiboje Manzese kuzungumza na Wananchi wa Jimbo la Uzini mara baada ya kutembelea Barabara ya Kiboje,Miwani-Kizimbani akiendelea na ziara yake katika Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa huo.
  • Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Mhe. Sudi Nahoda akitoa ufafanuzi kuhusu masuala ya kilimo kwa Wananchi na Wakulima wa Kiboje,Miwani-Kizimbani wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotembelea Barabara ya vijiji hivyo vya Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo akiendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa huo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) alipokuwa akimsikiliza Mhandisi wa Idara ya Umwagiliaji maji Jogha Salum Mohamed (kulia)alipofika kuangalia maendeleo ya Mradi wa kilimo cha umwagiliaji Bonde la Cheju Wilaya ya Kati akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mzee Omar Iddi Omar Mkulima katika Bonde la Mpunga la Cheju Wilaya ya Kati kuhjusiana na ukukulima wa mpunga katika Bonde hilo akiendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) alipokuwa akimsikiliza Mhandisi Mansour Mohamed Kassim (wan ne kulia) alipofika kuangalia maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Binguni Wilaya ya Kati akiendelea na Ziara yake kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Abdalla Khatib Hamad katika kikundi cha wajasiria mali Mwera alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Tunguu Suza Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiwa katika ziara ya Mkoa huo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia)alipokuwa akimsikiliza Nd. Salum Mohamed Salum wa Ushirika wa Vijana ZAN MIX wa Dungabweni Wilaya ya Kati alipokuwa akitembelea maonesho ya Wajasiriamali wa Wilaya ya Kati viwanja wa Ukumbi wa Tunguu Suza akiwa katika Ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akihutubia katika Majumuisho ya Ziarayake ya Mkoa wa Kusini Unguja katika ukumbi wa Tunguu Suza Wilaya Kati.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MAONESHO YA 6 YA KIMATAIFA YA UTALII YA KISWAHILI (S!TE) YANAFANYIKA KATIKA JIJI LA KIBIASHARA LA TANZANIA LA DAR-ES-SALAAM