Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Ajumuika na Wananchi Kushuhudia Mpambano wa Simba na Yanga Tarehe 03 Julai, 2021


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Wallace Karia, alipowasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo tarehe 03 Julai, 2021 kwa ajili kuangalia mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akiingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo tarehe 03 Julai, 2021 kwa ajili kuangalia mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akiangalia mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga unaoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam leo tarehe 03 Julai,2021

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MAONESHO YA 6 YA KIMATAIFA YA UTALII YA KISWAHILI (S!TE) YANAFANYIKA KATIKA JIJI LA KIBIASHARA LA TANZANIA LA DAR-ES-SALAAM