Machapisho

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Awasili Jijini Dodoma Akitokea Jijini Dar es Salaam Tarehe 04 Julai, 2021

Picha
  FacebooTwitteShare Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma  akitokea Jijini Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa amefuatana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma  akitokea Jijini Dar es salaam 

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Ajumuika na Wananchi Kushuhudia Mpambano wa Simba na Yanga Tarehe 03 Julai, 2021

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Wallace Karia, alipowasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo tarehe 03 Julai, 2021 kwa ajili kuangalia mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga. Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akiingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo tarehe 03 Julai, 2021 kwa ajili kuangalia mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga. Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akiangalia mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga unaoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam leo tarehe 03 Julai,2021

Ziara ya Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi Wilaya Kati Unguja

Picha
  1 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mgeni Haji Jimbo la Uzini baada ya kutembelea Barabara ya Mgeni Haji – Kwambani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiendelea na ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Kiboje Manzese kuzungumza na Wananchi wa Jimbo la Uzini mara baada ya kutembelea Barabara ya Kiboje,Miwani-Kizimbani akiendelea na ziara yake katika Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa huo. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Mhe. Sudi Nahoda akitoa ufafanuzi kuhusu masuala ya kilimo kwa Wananchi na Wakulima wa Kiboje,Miwani-Kizimbani wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotembelea ...

SHERIA, MWENENDO WA MASHAURI NA HUKUMU ZIANDIKWE KWA LUGHA YA KISWAHILI-DKT MWIGULU NCHEMBA

Picha
Waziri wa katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza na Menejimenti ya Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania)  wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam tarehe 22 Disemba 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Katiba na Sheria) Waziri wa katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza na Menejimenti ya Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania)  wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam tarehe 22 Disemba 2020. Waziri wa katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akikagua maabara ya Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania)  wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam tarehe 22 Disemba 2020. Naibu Waziri wa katiba na Sheria Mhe Geofrey Mizengo Pinda akisisitiza jambo wakati akizungumza na Menejimenti ...
Picha
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza kwenye kikao kazi na Menejimenti ya Mahakama akiwa katika siku ya tatu ya ziara ya kikazi  Jijini Dar es salaam, Leo tarehe 23 Disemba 2020.  (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Katiba na Sheria) Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba (Wa Pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na  Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Jaji Prof. Ibrahim Khamis Juma (Wa Pili Kushoto), Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Geofrey Mizengo Pinda (Kushoto) na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi (Kulia)  mara baada ya kufanya mazungumzo na Menejimenti ya Mahakama akiwa katika siku ya tatu ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam, Leo tarehe 23 Disemba 2020. Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof Sifuni Ernest Mchome akifuatilia hotuba Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza kwenye ...

UKIRI WA KITAIFA NCHI HII NI TAJIRI

Picha

AMANI YA TAIFA LETU NDIO KILA KITU,HAKI NA WAJIBU WA KUILINDA NI WA KILA MMOJA WETU

Picha