Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2023

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Dk. Condoleezza Rice na mfanyabiashara Bill Gates wameungana na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. George W. Bush katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Kupambana na UKIMWI (President’s Emergency Plan for AIDS Relief - PEPFAR) jijini Washington DC Ijumaa Februari 24, 2023

Picha
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. George W. Bush na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Dk. Condoleezza Rice wakiwa kwenye mjadala katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Kupambana na UKIMWI (President’s Emergency Plan for AIDS Relief - PEPFAR) jijini Washington DC Februari 24, 2023 Jakaya Kikwete AIDS Healthcare Foundation Condoleezza Rice George W. Bush The U.S. President's Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa 66 wa Mambo ya Nje wa Marekani Dk. Condoleezza Rice katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Kupambana na UKIMWI (President’s Emergency Plan for AIDS Relief - PEPFAR) katika ukumbi jijini Washington DC Februari 24, 2023 Jakaya Kikwete Condoleezza Rice The U.S. President's Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) Rais Mstaa...

RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE, MWENYEKITI WA BODI YA TAASISI YA KIMATAIFA INAYOSHUGHULIKIA MASUALA YA ELIMU DUNIANI (GLOBAL PARTNERSHIP FOR EDUCATION) - GPE) AMEKUTANA NAKUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA BENKI YA DUNIA WASHINGTON DC

Picha
Viongozi wa Benki ya Dunia aliokutana nao ni Bi. Mari Pangetsu, Mkurugenzi Mtendaji wa Sera ya Maendeleo na Ushirikiano wa Benki ya Dunia, na Bi. Mamta Murthi, Makamu wa Rais wa Maendeleo ya Watu katika Benki ya Dunia. Kutoka GPE Mwenyekiti wa Bodi Dr. Jakaya Kikwete aliambana na Bi. Laura Frigenti, Mtendaji Mkuu wa GPE na Bw. Charles North, Naibu Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo. Mkutano huo ulilenga katika kuboresha ushirikiano uliopo kati ya GPE na Benki ya Dunia katika kuhakikisha elimu bora inatolewa kwa watoto wa kike na wa kiume katika nchi zinazoendelea. :O/Rais Mstaafu  

TANZANIA-EU BUSINESS FORUM

Picha

MAKAMU WA RAIS UFUNGUZI WA MWAKA WA MAHAKAMA YA AFRIKA - ARUSHA

Picha
Mpango akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Imani Aboud wakati alipowasili Makao Makuu ya Mahakama hiyo mkoani Arusha kuhudhuria ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu   tarehe 20 Februari 2023. (Kulia ni Makamu wa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Blaise Tchikaya) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia Majaji, Viongozi na Watumishi mbalimbali wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu wakati wa Ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama hiyo uliofanyika Makao Makuu ya Mahakama hiyo mkoani Arusha  tarehe 20 Februari 2023 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipokea Vitabu vya Hukumu mbalimbali zilizotolewa na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu tangu kuanzishwa kwakwe kutoka kwa Rais wa Mahakama hiyo Jaji Imani Aboud mara baada ya  Ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika ya Ha...

YANGA WASEMA TUMEZICHUKUA PESA ZA MAMA BAADA YA USHINDI DHIDI YA MAZEMBE

Picha

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ashuhudia utiaji Saini Mikataba 26 ya Gridi Imara yenye thamani ya Shilingi Trillion 1.9, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Februari, 2023

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kushuhudia utiaji saini wa Mikataba 26 ya Gridi Imara yenye thamani ya Shilingi Trillion 1.9. Hafla ya utiaji saini Mikataba ya kuimarisha Gridi ya Taifa na usambazaji wa umeme Vijijini imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Februari, 2023.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akishuhudia Mkurugenzi wa Shirika la Umeme nchini TANESCO Maharage Chande akiwa pamoja na Mwanasheria wa Shirika hilo Zaharani Kisilwa wakati wakitia saini Mikataba mbalimbali ya Gridi Imara na Wakandarasi mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Februari, 2023. . . . . . . . . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akishuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Umeme Vijijini REA Eng. Hassan Saidy pamoja na Mwanasheria wa REA Mussa Muze wakati wakitia saini Mikataba ya kupeleka Umeme maeneo mbalimbali nch...

TANZANIA KUNUFAIKA NA BILIONI 120/- KUTOKA GEF KULINDA MAZINGIRA

Picha
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akifungua Warsha ya siku mbili ya Wadau na Wataalamu wa Mazingira inayolenga kuainisha vipaumbele vya miradi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi inayosimamiwa na GEF jijini Dodoma  Februari 13, 2023. Wadau na Wataalamu wa Mazingira wakiwa katika Warsha inayolenga kuainisha vipaumbele vya miradi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi inayosimamiwa na GEF jijini Dodoma Februari 13, 2023. Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (kulia) akiteta Mwakilishi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) anayeshughulikia Mfuko wa GEF, Bi. Christine Haffner-Sifakis (kushoto) wakati kifungua Warsha ya siku mbili ya Wadau na Wataalamu wa Mazingira inayolenga kuainisha vipaumbele vya miradi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi inayosimamiwa na GEF jijini Dodoma leo Februari 13, 2023. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama Mgeni rasmi Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais ...

Je unajua Jiji la Dar es salaam hasa Bonde la Msimbazi kujengwa upya?

Picha

WILAYA YA KASULU, KIGOMA KUNA MENGI YA KUJIVUNIA

Picha

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.HUSSEIN ALI MWINYI AFUNGUA MAONESHO YA SIKU 3 YA UTALII NA UWEKEZAJI ZANZIBAR 2023

Picha
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imedhamiria kwa dhati kuiendeleza sekta ya Utalii na kuongeza thamani na ubora kwa kutumia mikakati tofauti ikiwemo kuongeza vivutio. Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo alipofungua Maonesho ya siku 3 ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2023 yenye washiriki zaidi ya 200 kutoka Mataifa mbalimbali duniani.  Maonesho hayo yenye maudhui ya 'Greener Zanzibar'  ambayo yanalenga kuibadilisha  Zanzibar kuwa fikio la utalii endelevu, yaani 'Sustainable Tourism Destination' 📅 09 Februari 2023, 📍 Jengo la Kihistoria la Beit El Amaan, Zanzibar