Machapisho

Picha
  NUKUU ZA MH RAIS DK SAMIA SULUHU HASANI, KUHUSU UCHUKUZI KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO WA MWAKA 2023 KUKARIBISHA MWAKA 2024 KWA WATANZANIA. NA HAYA NDIYO MATOKEO CHANYA+
Picha
  NUKUU ZA MH RAIS DK SAMIA SULUHU HASANI KUHUSU SEKTA ZA UTALII NA MADINI, KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO WA MWAKA 2023 KUKARIBISHA MWAKA 2024 KWA WATANZANIA.
Picha
  NUKUU ZA MH RAIS DK SAMIA SULUHU HASANI KUHUSU SEKTA YA KILIMO, KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO WA MWAKA 2023 KUKARIBISHA MWAKA 2024 KWA WATANZANIA.   NA HAYA NDIYO MATOKEO CHANYA+
Picha
    NUKUU ZA MH RAIS DK SAMIA SULUHU HASANI KUHUSU SEKTA YA KILIMO, KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO WA MWAKA 2023 KUKARIBISHA MWAKA 2024 KWA WATANZANIA.   NA HAYA NDIYO MATOKEO CHANYA+

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru kwenye hafla iliyofanyika New Delhi nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023.

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru Profesa Santishree Dhulipudi Pandit kwenye hafla iliyofanyika New Delhi nchini India Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru, New Delhi nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023 Walimu wa Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru kilichopo New Delhi nchini India wakiwa kwenye hafla ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo hicho Oktoba 10, 2023 Wanafunzi wa Vyuo Vikuu mbalimbali nchini India wakiwa kwenye hafla ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitunukiwa Shahada ya Heshim...

BANDA LA WIZARA YA FEDHA: SHAMRASHAMRA ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA NANE NANE JIJINI MBEYA

Picha
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (kushoto), akisaini kitabu cha wageni, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane, yanayofikia kilele leo katika Viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya, yaliyobeba kaulimbiu ya “Vijana na Wanawake ndio Msingi Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula Tanzania”. Kulia ni Katibu Muhtasi wa Wizara hiyo, Bi. Masia Msuya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (kushoto), akisikiliza kwa umakini maelezo yaliyokuwa yanaotolewa na Mchumi kutoka Idara ya Usimamizi wa Madeni, Bi. Gloria Mduda (kulia), kuhusu mwamko wa wananchi waliotembelea meza ya idara hiyo, kujifunza kuhusu Deni la Taifa, alipotembelea Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane, yanayofikia kilele leo katika Viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya, yaliyobeba kaulimbiu ya “Vijana na Wanawake ndio Msingi Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula Tanzania”. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ...

BARAZA LA SIASA TANZANIA LAWAKUTANISHA WANASIASA, VIONGOZI WA DINI KUJADILI HALI YA KISIASA NCHINI

Picha
  Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Ahmed Ally Akiteta j Mrajisi wa Asasi za Kirai Zanzibar, Mohamed  Abdallah  pamoja na mjumbe mwalikwa kutoka asasi ya kiraia YPC, Martine Mang’ong’o mara baada ya kumaliza Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam  tarehe 1 Agosti 2023. (Picha na: ORPP) Msajili wa Vyama vya Saisa, Jaji Francis Mutungi akiteta jambo na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe mara baada ya kumaliza Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam  tarehe 1 Agosti 2023. Mwakilishi wa Chama cha NCCR Mageuzi, Joseph Selasini akichangia mada wakati wa Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam  tarehe 1 Agosti 2023. Kiongozi wa Chama ch...