RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA MTANDAO WA VIONGOZI WANAWAKE WA AFRIKA ULIOFANYIKA ZANZIBAR

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde pamoja na viongozi mbalimbali Wastaafu wa Afrika kwenye picha ya pamoja na Washiriki wa Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika uliofanyika Zanzibar tarehe 03 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde pamoja na viongozi mbalimbali Wastaafu wa Afrika wakiwa kwenye Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika uliofanyika Zanzibar tarehe 03 Desemba, 2022.



Viongozi mbalimbali pamoja na washiriki wa Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wa Golden Tulip Zanzibar kushiriki na kuchangia mada mbalimbali kwa viongozi hao Wanawake wa Afrika tarehe 03 Desemba, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kuchangia mada mbalimbali katika Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika uliofanyika Zanzibar tarehe 03 Desemba, 2022









Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MJI WA KILWA KISIWANI ULIVYOBEBA HISTORIA YA MATAIFA MBALIMBALI

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA PHILIP MORRIS GREGOIRE VERDEAUX IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA