MARUBANI NA WAHANDISI WA NDEGE AINA ZOTE KUPATA MAFUNZO TANZANIA,CHUO CH...

Chuo cha NIT ambacho kilianzishwa rasmi mwaka 1975 kabla ya kubadilishwa muundo nakuwa chuo kikuu miaka ya karibuni,kwa upande wa usafiri wa anga pia kimekuwa kinatoa mafunzo katikauhandisi na ufundi ndege.
Ada ya kusomea urubani Pekee ni sh.milioni 70 badala ya sh. milioni 200
zinazotozwa katika vyuo vya nchi za nje.katika ada hiyo, sh. milioni 21 ni gharama za kozi ya urubani kwa masomo ya awali na kiasi kinachobaki ni
gharama ya kuruka angani saa 50 wakati wa mafunzo yatakayofanyika
katika hatua mbalimbali.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MAONESHO YA 6 YA KIMATAIFA YA UTALII YA KISWAHILI (S!TE) YANAFANYIKA KATIKA JIJI LA KIBIASHARA LA TANZANIA LA DAR-ES-SALAAM