UZINDUZI WA ONESHO LA KIMATAIFA LA UTALII LA SWAHILI (SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO - S!TE, 2022). MLIMANI CITY, DSM MGENI RASMI NI MAKAMU WA RAIS DR. PHILIP ISDOR MPANGO
Lengo kuu la Onesho hili ni kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini Tanzania, na kukutanisha wanunuzi na wauzaji wa bidhaa za utalii wa Kitaifa na Kimataifa.
Onesho hili limehudhuriwa na waoneshaji zaidi 200, wanunuzi wa Kimataifa takribani 100 kutoka masoko ya Kimkakati hususan nchi za Marekani, Uholanzi, Afrika Kusini, India, Urusi, Hispania, UAE, Poland, Finland, Japan, Oman na nyinginezo,Onesho hilo litamalizika tarehe 23 Oktoba 2022
Maoni
Chapisha Maoni