MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, AMUAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFANI, JAJI WA MAHAKAMA KUU, MWENYEKITI PAMOJA NA WAJUMBE WA TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA TAREHE 01 OKTOBA, 2022


FacebookTwitterShare

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Abubakar Amin Mrisha kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Sylvester Joseph Kainda kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Idriss Ramadhan Mavura kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba,2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Suzanne Ndomba Doran kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01Oktoba,2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Junus Purasdus Ndaro kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla liyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba,2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Alhaj Almas Seleman kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba,2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Agnes Kisaka Meena kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma                  tarehe 01 Oktoba,2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Hangi Matekeleza Chang’a kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla liyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba,2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Rifai Abdallah Mkumba kuwa
Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba,
2022.
Kamishna wa Maadili Jaji Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi akiwaongoza Kiapo cha Maadili Msajili wa Mahakama ya Rufani, Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi pamoja na Wajumbe wa Tume hiyo mara baada ya kuapishwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
.
Viongozi walioapishwa wakiweka saini kwenye viapo vyao vya Maadili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti  wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi, Idriss Ramadhan Mavura mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Abubakar Amin Mrisha mara baada ya haflaya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MJI WA KILWA KISIWANI ULIVYOBEBA HISTORIA YA MATAIFA MBALIMBALI

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA PHILIP MORRIS GREGOIRE VERDEAUX IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA