MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA TAASISI YA WAFANYABIASHARA YA QATAR SHEIKH FAISAL BIN QASSIM AL THANI, DOHA NCHINI QATAR TAREHE 06 OKTOBA, 2022


Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wafanyabiashara ya Qatar Sheikh Faisal bin Qassim Al Thani aliyeambatana na ujumbe wa Wafanyabiashara wakubwa, Doha tarehe 06 Oktoba, 2022.
.
Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wafanyabiashara ya Qatar Sheikh Faisal bin Qassim Al Thani aliyeambatana na ujumbe wa Wafanyabiashara wakubwa, Doha  tarehe 06 Oktoba, 2022.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Kutoka Kuku 830 Hadi 5,000: Safari ya Mama Shemsa Taraba Kuandika Upya Hadithi ya Ufugaji Zanzibar

UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM WATAKAOGOMBEA NAFASI ZA UBUNGE NA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KWA MAJIMBO NA VITI MAALUM

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA PHILIP MORRIS GREGOIRE VERDEAUX IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA