MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA KWA WATU WENYE ULEMAVU NCHINI UTURUKI 2022


Tanzania yashinda dhidi ya Uzbekistan kwa goli 2-0 kwenye mechi iliyochezwa  Oktoba 3, 2022 nchini Uturuki.

Kwa matokeo hayo Tanzania inasubiri mchezo kati ya Poland na Hispania utakaochezwa majira ya saa 12:00 jioni, huo ndio mchezo utakaoamua nani kati ya Poland na Tanzania kushika nafasi ya pili katika kundi lao.









Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MJI WA KILWA KISIWANI ULIVYOBEBA HISTORIA YA MATAIFA MBALIMBALI

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA PHILIP MORRIS GREGOIRE VERDEAUX IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA