MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DTK. PHILIP MPANGOUZINDUZI WA MAABARA KIBONG’OTO WILAYA YA SIHA MKOANI KILIMANJARO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akizindua mnara maalum unaoonesha kuanza kwa hospitali hiyo na huduma zinazotolewa wakati alipofika Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto kufungua Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali hiyo iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro tarehe 16 Julai 2022. Kulia ni Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akipanda mti katika Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto wakati alipofika kufungua Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali hiyo iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro. Tarehe 16 Julai 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Afya na Mkoa wa Kilimanjaro katika gari maalumu ambalo ni maabara ya magonjwa ambukizi lililopo katika Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro. Tarehe 16 Julai 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akifungua Maabara ya Afya ya Jamii Ngazi ya 3 ya Hospitali ya Kibong’oto iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro tarehe 16 Julai 2022. Kulia ni Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maabara ya Afya ya Jamii Ngazi ya 3 ya Hospitali ya Kibong’oto iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro tarehe 16 Julai 2022. Kushoto ni mke wa Makamu wa Rais Mama Mboni Mpaye Mpango na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Stephen Kagaigai.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu wakati alipotembelea Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali ya Kibong’oto iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro mara baada ya kuifungua tarehe 16 Julai 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akizungumza na viongozi, watumishi wa Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto pamoja na wananchi mbalimbali wakati wa Ufunguzi wa Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali hiyo ilipo Siha mkoani Kilimanjaro tarehe 16 Julai 2022.










Maoni
Chapisha Maoni