Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2021

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Awasili Jijini Dodoma Akitokea Jijini Dar es Salaam Tarehe 04 Julai, 2021

Picha
  FacebooTwitteShare Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma  akitokea Jijini Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa amefuatana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma  akitokea Jijini Dar es salaam 

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Ajumuika na Wananchi Kushuhudia Mpambano wa Simba na Yanga Tarehe 03 Julai, 2021

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Wallace Karia, alipowasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo tarehe 03 Julai, 2021 kwa ajili kuangalia mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga. Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akiingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo tarehe 03 Julai, 2021 kwa ajili kuangalia mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga. Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akiangalia mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga unaoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam leo tarehe 03 Julai,2021

Ziara ya Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi Wilaya Kati Unguja

Picha
  1 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mgeni Haji Jimbo la Uzini baada ya kutembelea Barabara ya Mgeni Haji – Kwambani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiendelea na ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Kiboje Manzese kuzungumza na Wananchi wa Jimbo la Uzini mara baada ya kutembelea Barabara ya Kiboje,Miwani-Kizimbani akiendelea na ziara yake katika Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa huo. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Mhe. Sudi Nahoda akitoa ufafanuzi kuhusu masuala ya kilimo kwa Wananchi na Wakulima wa Kiboje,Miwani-Kizimbani wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotembelea ...