Machapisho

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA PHILIP MORRIS GREGOIRE VERDEAUX IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Philip Morris, Gregoire Verdeaux na Ujumbe wake walipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Philip Morris, Gregoire Verdeaux na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023    

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka kuwa Balozi kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023 . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Eng. Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, TAMISEMI (Miundombinu) kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kamishna wa Polisi Benedict Michael Wakulyamba kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Iddi Seif Bakari kuwa Balozi nchini Uturuki kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Has...

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Dk. Condoleezza Rice na mfanyabiashara Bill Gates wameungana na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. George W. Bush katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Kupambana na UKIMWI (President’s Emergency Plan for AIDS Relief - PEPFAR) jijini Washington DC Ijumaa Februari 24, 2023

Picha
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. George W. Bush na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Dk. Condoleezza Rice wakiwa kwenye mjadala katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Kupambana na UKIMWI (President’s Emergency Plan for AIDS Relief - PEPFAR) jijini Washington DC Februari 24, 2023 Jakaya Kikwete AIDS Healthcare Foundation Condoleezza Rice George W. Bush The U.S. President's Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa 66 wa Mambo ya Nje wa Marekani Dk. Condoleezza Rice katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Kupambana na UKIMWI (President’s Emergency Plan for AIDS Relief - PEPFAR) katika ukumbi jijini Washington DC Februari 24, 2023 Jakaya Kikwete Condoleezza Rice The U.S. President's Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) Rais Mstaa...

RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE, MWENYEKITI WA BODI YA TAASISI YA KIMATAIFA INAYOSHUGHULIKIA MASUALA YA ELIMU DUNIANI (GLOBAL PARTNERSHIP FOR EDUCATION) - GPE) AMEKUTANA NAKUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA BENKI YA DUNIA WASHINGTON DC

Picha
Viongozi wa Benki ya Dunia aliokutana nao ni Bi. Mari Pangetsu, Mkurugenzi Mtendaji wa Sera ya Maendeleo na Ushirikiano wa Benki ya Dunia, na Bi. Mamta Murthi, Makamu wa Rais wa Maendeleo ya Watu katika Benki ya Dunia. Kutoka GPE Mwenyekiti wa Bodi Dr. Jakaya Kikwete aliambana na Bi. Laura Frigenti, Mtendaji Mkuu wa GPE na Bw. Charles North, Naibu Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo. Mkutano huo ulilenga katika kuboresha ushirikiano uliopo kati ya GPE na Benki ya Dunia katika kuhakikisha elimu bora inatolewa kwa watoto wa kike na wa kiume katika nchi zinazoendelea. :O/Rais Mstaafu  

TANZANIA-EU BUSINESS FORUM

Picha

MAKAMU WA RAIS UFUNGUZI WA MWAKA WA MAHAKAMA YA AFRIKA - ARUSHA

Picha
Mpango akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Imani Aboud wakati alipowasili Makao Makuu ya Mahakama hiyo mkoani Arusha kuhudhuria ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu   tarehe 20 Februari 2023. (Kulia ni Makamu wa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Blaise Tchikaya) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia Majaji, Viongozi na Watumishi mbalimbali wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu wakati wa Ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama hiyo uliofanyika Makao Makuu ya Mahakama hiyo mkoani Arusha  tarehe 20 Februari 2023 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipokea Vitabu vya Hukumu mbalimbali zilizotolewa na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu tangu kuanzishwa kwakwe kutoka kwa Rais wa Mahakama hiyo Jaji Imani Aboud mara baada ya  Ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika ya Ha...

YANGA WASEMA TUMEZICHUKUA PESA ZA MAMA BAADA YA USHINDI DHIDI YA MAZEMBE

Picha