Machapisho
How many types of rice fields are there in Tanzania?
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAHAFALI YA 16 YA MUHAS
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiongozana na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili Dkt. Harrison Mwakyembe, Viongozi wa Chuo pamoja na wahitimu mbalimbali kuelekea katika Viwanja vya Mahafali vya Chuo hicho kwaajili ya kuongoza Mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) leo tarehe 03 Desemba 2022 Jijini Dar es salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimtunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari yaani Doctor of Science (Honoris Causa) Prof. Charles Fordham Von Reynwakati wakati wa Mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili leo tarehe 03 Desemba 2022 Jijini Dar es salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwatunuku wahitimu mbalimbali Shahada za Uzamivu wakati wa Mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, Muhimbili leo tarehe 03 Des...
RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA MTANDAO WA VIONGOZI WANAWAKE WA AFRIKA ULIOFANYIKA ZANZIBAR
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde pamoja na viongozi mbalimbali Wastaafu wa Afrika kwenye picha ya pamoja na Washiriki wa Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika uliofanyika Zanzibar tarehe 03 Desemba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde pamoja na viongozi mbalimbali Wastaafu wa Afrika wakiwa kwenye Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika uliofanyika Zanzibar tarehe 03 Desemba, 2022. Viongozi mbalimbali pamoja na washiriki wa Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wa Golden Tulip Zanzibar kushiriki na kuchangia mada mbalimbali kwa viongozi hao Wanawake wa Afrika tarehe 03 Desemba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kuchangia mada mbalimbali katika Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake ...
MAKAMU WA RAIS HAFLA YA MWAJIRI BORA WA MWAKA 2022
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekemea vitendo vya uonevu, unyanyasaji na ukatili katika maeneo ya kazi ambayo husababisha wafanyakazi kudhalilishwa na kuwa wanyonge mahali pa kazi hususani manyanyaso ya umri, jinsia, rangi, kabila, ulemavu pamoja na dini. Makamu wa Rais amesema hayo wakati wa Hafla ya Utoaji Tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka 2022 zinazoratibwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) iliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam. Amesema vitendo hivyo ni ukiukwaji wa haki za binadamu na vinaathiri utendaji wa kazi sio tu kwa waathirika, bali kwa viongozi na Taasisi au Mashirika wanayofanyia kazi. Ameongeza kwamba kila mfanyakazi ana haki ya kutendewa utu, kuthaminiwa na kuheshimika kazini na kuagiza kuwekwa mifumo itakayowezesha wafanyakazi kutoa taarifa za kunyanyaswa au kuonewa bila kuhofia madhara yoyote yanayoweza kujitokeza ikiwemo kupoteza ajira zao. Halikadhalika Makamu wa Rais amewasihi waajiri hapa nch...
MAKAMU WA RAIS DR. PHILIP MPANGO KATIKA UTOAJI TUZO ZA SEKTA BINAFSI
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikabidhi tuzo ya mshindi wa kwanza wa kampuni yenye mchango mkubwa kwa maendeleo ya jamii ambaye ni Grumeti Reserve wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sekta Binafsi Tanzania kwa mwaka 2022 yaliofanyika Masaki Jijini Dar es salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo mbalimbali zilizotolewa wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sekta Binafsi Tanzania kwa mwaka 2022 yaliofanyika Masaki Jijini Dar es salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi na wadau wa Sekta Binafsi nchini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sekta Binafsi Tanzania kwa mwaka 2022 yaliofanyika Masaki Jijini Dar es salaam . Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisikiliza salamu mbalimbali za wadau wa Sekta Binafsi nchini wakati alipohudhuria M...
WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI DKT. TAX AWATUNUKU SHAHADA MBALIMBALI WAHITIMU 990 WA CHUO CHA DIPLOMASIA KATIKA MAHAFALI YA 25 UKUMBI WA MWAL. NYERERE JIJI DAR ES SALAAM
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine