Machapisho

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA 22 WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) JIJINI ARUSHA TAREHE 21 JULAI, 2022

Picha
  FacebookShar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulionza tarehe 21 Julai, 2022 Jijini Arusha   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha AICC kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulionza tarehe 21 Julai, 2022 Jijini Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza  na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha AICC kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulionza tarehe 21 Julai, 2022 Jijini Arusha. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa nc...

BANDARI YA MTWARA KUSAFIRISHA TANI 110,000 ZA MAKAA YA MAWE KWA MWEZI KUPELEKA ASIA NA ULAYA

Picha
  Chama cha uchimbaji madini cha Bonde la Ufa kwa kushirikiana na wawekezaji kutoka Afrika Kusini na Uingereza wanatazamiwa kutumia Bandari ya Mtwara kusafirisha tani 110,000 za makaa ya mawe kwa mwezi katika bara la Asia na duniani kote Mkurugenzi wa Jumuiya hiyo, FahadMkaandamu alibainisha hayo hivi karibuni, na kusema kuwa chama hicho kiko katika majadiliano ya mwisho na uongozi wa Bandari ya Mtwara kuhusu kutumia bandari hiyo yenye kina kirefu zaidi kusafirisha bidhaa zao nje ya nchi.

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI KATAVI KWA ZIARA YA KIKAZI

Picha
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango leo tarahe 21 Julai 2022 akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi kwaajili ya ziara ya kikazi ya siku nne mkoani humo.

MAADHIMISHO YA SIKU YA IDADI YA WATU DUNIANI KITAIFA YAFANA MANYARA

Picha
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa pili kushoto), akiwasili katika viwanja vya shule ya Msingi Katesh B Wilayani Hanang’, mkoani Manyara, katika kilele cha siku ya maadhimisho ya Idadi ya Watu Duniani, wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Bw. Makongoro Nyerere. Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwataka wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la Sensa ya watu na Makazi itakayfanyika tarehe 23 Agostu, 2022 ili kupata takwimu sahihi za idadi ya watu ili kurahisisha mipango ya maendeleo, wakati wa kilele cha siku ya maadhimisho ya Idadi ya Watu Duniani, Wilayani Hanang’, mkoani Manyara. Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA), Bw. Mark Bryan Schreiner, wakati wa kilele cha siku ya maadhimisho ya Idadi ya Watu Duniani, ikliyofanyika kitaifa Wilayani Hanang’, mkoani Manyara. Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. ...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMWAPISHA IGP WAMBURA TAREHE 20,JULAI 2022

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimvalisha Cheo kipya cha Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi (IGP) aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI) Camillus Mwongoso Wambura kuwa Mkuu Mpya wa Jeshi la Polisi  katika Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Julai, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimwapisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI) Camillus Mwongoso Wambura kuwa Mkuu Mpya wa Jeshi la Polisi (IGP) katika Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Julai, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimwapisha aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Simon Nyakoro Sirro kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Zimbawe katika Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Julai, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimwapisha Balozi Luteni Jenerali Mathew Edward Mki...

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DTK. PHILIP MPANGOUZINDUZI WA MAABARA KIBONG’OTO WILAYA YA SIHA MKOANI KILIMANJARO

Picha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akizindua mnara maalum unaoonesha kuanza kwa hospitali hiyo na huduma zinazotolewa wakati alipofika  Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto kufungua Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali hiyo iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro tarehe 16 Julai 2022. Kulia ni Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akipanda mti katika Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto wakati alipofika kufungua Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali hiyo iliopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro. Tarehe 16 Julai 2022. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na  viongozi mbalimbali wa Afya na Mkoa wa Kilimanjaro katika gari maalumu ambalo ni maabara ya magonjwa ambukizi lililopo katika  Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto iliopo Wilaya ya Siha mkoani K...

TANZANIA SIO KAPU LA KUTULETEA DIGRII FEKI-WAZIRI MKENDA

Picha
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa  Prof Ndelilio Urio  akimkabidhi zawadi ya picha Mgeni-Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda  wakati wa sherehe za siku ya Chuo Kikuu cha Iringa iliyofanyika  jana tarehe 14 Julai 2022 Mjini Iringa. (Picha Zote Na Mathias Canal) Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda akisisitiza ulazima wa TCU kusimamia ubora wa elimu  wakati wa sherehe za siku ya Chuo Kikuu cha Iringa iliyofanyika  jana tarehe 14 Julai 2022 Mjini Iringa. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda akiwa ameambatana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa Prof  Ndelilio Urio  wakikagua maktaba  wakati wa sherehe za siku ya Chuo Kikuu cha Iringa iliyofanyika  jana tarehe 14 Julai 2022 Mjini Iringa. Sehemu ya wanachuo na wakazi wa Iringa wakifuatilia hotuba ya Mgeni rasmi-Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mke...