Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2023

MBUNGE wa Bunge la Uingereza, Tracey Crouch anaendelea kupanda Mlima Kilimanjaro

Picha
    MBUNGE wa Bunge la Uingereza, Tracey Crouch anaendelea kupanda Mlima Kilimanjaro na Jana amefika kituo cha Moyr Hut mita takriban 4,600 kutoka usawa wa bahari akibakiza vituo vitatu kufika kileleni na kuweka historia . Crouch anapanda Mlima Kilimanjaro, akiwa na wanawake wenzake wanane kupitia kampuni ya Big Expedition and Safaris ya jijini Arusha na tangu ameanza kupanda amekuwa na furaha kubwa kupanda Mlima huku akifurahia kukaribia kileleni mwa Mlima Kilimanjaro. Mbunge huyo ambaye yupo katika kampeni ya kuchangisha fedha kufanikisha matibabu ya saratani ya matiti kwa wagonjwa kesho anatarajiwa kufika kituo cha Baranko. Crouch ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Michezo wa Uingereza kati ya mwaka 2017/18 anatarajiwa kushuka Mlimani Agosti 5 na kupokewa na wadau mbalimbali wa Utalii kampuni ya kimataifa ya Utalii ya Uingereza ya Action Challenge kwa kushirikiana na Big Expedition and Safaris ndio wanampandisha kileleni Mbunge huyo na wenzake katika safari iliyopewa jina la Delux V

MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KWA VIONGOZI WANAOSHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUHUSU RASILIMALI WATU, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 25 JULAI, 2023.

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali wanaoshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu wakati wa hafla ya Chakula cha jioni, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2023. Matukio mbalimbali wakati wa hafla ya chakula cha jioni kwa viongozi wanaoshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na wageni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi, Rais wa São Tomé na Principe Mhe. Carlos Vila Nova, Rais wa Madagascar Mhe. Andry Nirina Rajoelina pamoja na Rais wa Sierra Leone Mhe. Julius Maada Bio wakati wakiangalia vikundi mbalimbali vikitumbuiza katika hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia viongozi wanaoshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.

KUWAJALI WATOTO YATIMA NA WALE WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI NI JUKUMU LETU SOTE KAMA JAMII. NEEMA GOSPEL CHOIR

Picha
World" kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan,kulinda,kusaidia watoto yatima na wale wenye uhitaji maalumu wapo zaidi ya  Arobaini  waliotufikia kuomba msaada wa jamii  na kwa pamoja tumeamua kuushirikisha umma kujuika nasi, Watoto  h awa Wanahitaji upendo wetu, huduma yetu, na fursa ya kuwa na mustakabali mzuri. Kwa kujiunga nasi kwenye tukio hili, tunawapa tumaini la kuwa na maisha yaliyojaa furaha na mafanikio. Tutaimba,Pamoja tutawawezesha kwa Pamoja na tunakuomba popote ukiguswa Changia mchango wako kwa kutumia njia za malipo zifuatazo: Vodacom MPesa: 5922779, CRDB: 0133549137200, NMB: 20702302010. Amesisitiza Samuel Nkola. Mwenyekiti wa Neema Gospel Choir Neema Gospel Choir Na Mwandishi wetu. KUWAJALI WATOTO YATIMA NA WALE WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI NI JUKUMU LETU SOTE KAMA JAMII.  Hapa kuna njia kadhaa ambazo jamii inaweza kuchukua ili kuwajali watoto hawa: 1.     Kutoa msaada wa msingi: Jamii inaweza kutoa msaada wa