SISI NI TANZANIA: ✨ Sisi ni Wasanii wa Kizazi Kipya: Amani Yetu, Fah... : Sisi wasanii wa kizazi kipya tunasimama kwa sauti moja tukitangaza ukweli usiopingika: amani na utulivu ni msingi wa maisha yetu, ndoto ze...
K atika kisiwa cha Kilwa kuna wakati ilikuwa dola inayojitawala na kusifika kwa utajiri,eneo hilo ni mji katika mkoa wa Lindi ulioko kusini mwa Tanzania. Kilwa kisiwani ni mji unaopatikana katika fukwe za Bahari ya Hindi, Kusini mwa Tanzania. Ni mji ulioorodheshwa katika urithi wa Dunia na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO). Hili limetokana na ukongwe wa mji wa Kilwa kisiwani ambao ulifahamika hata kabla ya karne ya 9 kwani katika jengo la Ngome ya Mreno lijulikanalo kama gereza pameandikwa mwaka 230 juu ya mlango kuashiria kujengwa kwa jengo hilo J ina la Mji wa Kilwa lilitokana na neno la Kirumi Qviloa ambalo wenyeji walishindwa kutamka na kuita kwa jina la Kilwa, Mji huu ulikuwa ni himaya muhimu ya kibiashara katika bahari ya hindi ikiwa na umaarufu katika biashara za utumwa, chumvi, meno ya tembo na dhahabu. Biashara hizi zilivutia himaya hii kuwa na sarafu yake na utawala wenyewe nguvu wakisultan. Eneo hili lilitembelewa na watu we...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Philip Morris, Gregoire Verdeaux na Ujumbe wake walipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Philip Morris, Gregoire Verdeaux na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023
Maoni
Chapisha Maoni