DARAJA LA WAMI
Daraja lenye urefu wa Mita 513 na daraja la tatu kwa urefu Tanzania. linaunganisha mikoa miwili ya Kaskazini Tanga na Pwani. Ujenzi wake umeigharimu serikali ya Tanzania bilioni 68.
"KWENYE MAISHA,JAMBO MUHIMU SANA UNALOPASWA KUWA NALO NI UVUMILIVU"..VUMILIA, SWALA NI MGUU KWA MGUU HADI KIELEWEKE