RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BAADHI YA WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) KUTOKA TANZANIA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) mara baada mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) mara baada kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) mara baada kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MJI WA KILWA KISIWANI ULIVYOBEBA HISTORIA YA MATAIFA MBALIMBALI

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA PHILIP MORRIS GREGOIRE VERDEAUX IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA