Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2021
Picha
  Mkuu wa Mkoa Singida, Dkt.Binilith Mahenge akisisitiza jambo wakati Wajumbe wa Kamati ya Siasa  Mkoa  wa Singida walipo kuwa wakikagua mradi wa Chuo cha Ufundi VETA jana unaojengwa wilayani Ikungi. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Alhaji Juma Kilimba (wa tatu kushoto) akiongoza kamati hiyo kukagua mradi wa vyoo Zahanati ya Puma. Kulia ni Muuguzi Mkuu wa Zahanati hiyo Lucy Tathi. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Jerry Muro akizungumzia mradi wa ujenzi wa vyoo Zahanati ya Puma . Mwenyekiti wa Kijiji cha Puma, Samuel Mdimu  akizungumza wakati wa ukaguzi wa mradi huo. Wananchi wa Puma wakishuhudia  ukaguzi wa mradi huo. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Singida, Denis Nyiraha akizungumza wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa  vyoo vya Zahanati ya Puma. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ikungi, Mika Likapakapa na kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Singida, Alhaji Juma Kilimba Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Mkoa wa Singida...