Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2025

UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM WATAKAOGOMBEA NAFASI ZA UBUNGE NA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KWA MAJIMBO NA VITI MAALUM

Picha
TAARIFA KWA UMMA Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinapenda kuwajulisha wanachama wake na umma wa Watanzania kuwa, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika kikao chake cha tarehe 23 Agosti, 2025 imefikira na kufanya uteuzi wa mwisho wa majina ya wanachama wanaoomba nafasi za Ubunge na majina ya wanachama wanaoomba nafasi ya Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa majimbo na Viti Maalum. Majina ya walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-   MKOA WA ARUSHA 1. Ndg. Paul Chrisant  MAKONDA Arusha Mjini 2. Dkt. Johannes Lembulung’  LUKUMAY Arumeru Magharibi 3. Ndugu Daniel Awack  TLEMAH Karatu 4. Dkt. Steven Lemomo  KIRUSWA Longido  5. Ndugu Joshua  NASSARI Arumeru Mashariki 6. Ndugu Isack   COPRIAO Monduli  7. Ndugu Yannick Ikayo  NDOINYO Ngorongoro        DAR ES SALAAM 1. Ndugu Haran Nyakisa  SANGA Kigamboni  2. Ndugu Angellah Jasmine  MBELWA    KAIRUKI Kibamba  3. Prof. Alexander Kitila  MKUMBO Ubun...