Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2023

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA PHILIP MORRIS GREGOIRE VERDEAUX IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Philip Morris, Gregoire Verdeaux na Ujumbe wake walipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Philip Morris, Gregoire Verdeaux na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023    

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka kuwa Balozi kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023 . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Eng. Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, TAMISEMI (Miundombinu) kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kamishna wa Polisi Benedict Michael Wakulyamba kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Iddi Seif Bakari kuwa Balozi nchini Uturuki kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Has...