RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KWENYE KILELE CHA SHEREHE YA MIAKA 25 YA MFUKO WA FURSA SAWA KWA WOTE (EOTF) JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika kilele cha Sherehe ya miaka 25 ya Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Juni, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) Mama Anna Mkapa mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kilele cha maadhimisho ya miaka 25 ya Mfuko huo tarehe 27 Juni, 202 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) Mama Anna Mkapa pamoja na Baadhi ya Wake wa Viongozi mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kilele cha maadhimisho ya miaka 25 ya Mfuko huo tarehe 27 Juni, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu H...